CLICK HABARI


                                                  R.I.P  SMALL WANGAMBA 

Rest In Peace Mr Small.
Muigizaji Mkongwe mkongwe hapa nchini Said ngamba maarufu kama mzee Small amefariki Dunia siku wa kuamkia leo katika hospital ya taifa mhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.Akithibitisha taarifa ya kifo cha Mzee Small mwanaye atwaye Mohmoud amesema mzee wake amefikwa na mauti hayo majira ya saa nne usiku wakatiakiwa hospitalini apo akiendelea kupatiwa MatibabuMsiba unafanyika nyumbani kwake tabata na kadri taarifa zinavyoukuwa zinafuatia tutaendelea kukujuzaKipigo lingine tena kwenye tasinia ya sanaa baada ya kuondokewa na wasanii kadhaa majuma yaliyopita

R.I.P MZEE SMALL WANGAMBA
Tanzania kamwe haitomsahau pigo hili kubwa kumpoteza msaani wa maigizo MZEE SMALL WANGAMBA
MUNGU AILAZE PEMA ROHO YA MAREHEMU  AMEN.

No comments:

Post a Comment